Dalili za Ugonjwa wa Gonoria (Gonorrhea) Kwa Wanaume na Wanawake


 UGONJWA WA GONORIA NA DALILI ZAKE (GONORRHEA)

Gonoria (gonorrhea) ni katika maradhi yanayoambukizwa kwa njia ya ngono. Ugonjwa huu husababisha na bakteria na huathiri sehemu za mirija ya mkojo (urthra) puru ama koo.DALILI ZA UGONJWA WA GONORIA (GONORRHEA)
Kwa wanaume
1.Maumivu wakati wa kukojoa
2.Kutokwa na usaha kwenye kichwa cha uume
3.Maumivu ama kuvimba kwa korodani moja

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post