Beyonce Afichua Orodha ya Nyimbo za Albamu ya 'Renaissance'


 

Nyota wa muziki wa Marekani, Beyoncé ametangaza orodha ya nyimbo za albamu yake ijayo, yenye jina la 'Renaissance'.

Beyonce yuko njiani kurejea tena anapofanya kazi kwenye mradi wake wa kwanza peke yake baada ya miaka 6 Alitoa tangazo hilo kwenye hadithi yake ya Instagram mnamo tarehe 20 Julai kwenye hadithi yake ya Instagram ambapo alifichua idadi ya nyimbo kwenye albamu yake ya pekee.

Next Post Previous Post