Alichofanya Rais Magufuli daraja la Mkapa, apiga picha na walinzi wake - Bongo Habari

Rais Magufuli leo amevuka Daraja la Mkapa lenye urefu wa meta 970.5 kwa miguu na kisha kukagua kibao cha ufunguzi wa daraja hilo uliofanywa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa. 
Ameeleza kuwa daraja hilo ni moja ya kumbukumbu ambazo Watanzania hasa waishio kusini hawatamsahau Hayati Benjamin William Mkapa kwa kuamua kutenga fedha na kujenga daraja refu kuliko yote ili kuondoa tatizo kubwa la usafiri lililosababishwa na kukatika kwa mawasiliano hasa wakati wa mvua.

New Alichofanya Rais Magufuli daraja la Mkapa, apiga picha na walinzi wake - Bongo Habari brand new Song Bongo Fleva recording track that has been released by the talented artist.

Next Post Previous Post